Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Marehemu Mzee Arnold Wifred Nkhoma apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Kinondoni jijini Dar

 

DSC_0074
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mtoto wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma, Changanyikeni – Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.marehemu Mzee Arnold Nkhoma amezikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
DSC_0231
Wajukuu wa marehemu wakiwa wamebeba Jeneza la Babu yao kuliingiza ndani tayari kwa heshima za mwisho kabla ya kuelekea Kanisani kwa Ibada.

DSC_0238
DSC_0264
Mwili wa Mzee Arnold Wifred Nkhoma tayari kwa kutoa heshima za mwisho.
DSC_0330
Familia ya karibu ya marehemu.
DSC_0290
Kushoto ni mabinti wawili wa Marehemu wakiwa na ndugu zao wakaribu kwenye majonzi mazito.
DSC_0275
Vitukuu wa marehemu mzee Arnold Nkhoma.
DSC_0285
DSC_0295
 Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho.
DSC_0345
DSC_0360
Mtoto wa Marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma akitoa heshima za mwisho kwa baba yake mpendwa Mzee Arnold Nkhoma.
DSC_0363
Mtoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch akitoa heshima kwa baba yake.
DSC_0366
DSC_0368
Mjukuu mkubwa wa marehemu Bi. Usia Nkhoma Ledama akitoa heshima za mwisho kwa babu yake.
DSC_0372
Vilio na simanzi vilitawala.
DSC_0374
Ndugu wa karibu wa marehemu wakiendelea kutoa heshima za mwisho.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top