Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MH.MWIGULU NCHEMBA ASHIRIKI MAZISHI YA MJUMBE WA NEC WILAYA YA MKURANGA




NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA NA NAIBU WAZIRI WA FEDHA,HII LEO AMEUNGANA NA WANANCHI WA KIGAMBONI KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA MJUMBE WA NEC WA CCM TAIFA MAREHEMU RUKIA ALLY MSUMI ALIYEFARIKI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI TAR.20.01.2014.

Akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi Mh.Mwigulu Nchemba ametoa rambirambi kutoka CCM Mkoa wa Pwani,CCM Mkoa wa Dsm na CCM Makao Mkuu,Pia ameelezea kuwa Marehemu enzi za Uhai amekuwa Mwanachama mtiifu wa CCM na ameshika nyadhifa mblimbali za Uongozi ndani ya Chama ukiwao Udiwani miaka 10.
Mungu aipumzishe Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi
AMINA.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top