Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE ALIYEPIGWA NA KUUMIZWA USIKU WA KUAMKIA LEO AHAMISHIWA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI



 

MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AHAMISHIWA MOI
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona (33), aliyepigwa na watu wasiojulikana kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio Kawe jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, ametolewa wodini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuhamishiwa katika Kitengo cha Mifupa Muhimbili.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top