Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NA HII NDIO GHARAMA YA UTENGENEZAJI WA REMIX YA "Number One" ILIYOLIPWA NA SUPER STAR DIAMOND PLATZNUM MWENYEWE LIVE!!

 



Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria.

Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko Nigeria.

Diamond amelipa dola 25,000 sawa na
Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top