![](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/1512792_647200528675355_1796336104_n.jpg)
Naibu Katibu Mkuu CCM Mh:Mwigulu Nchemba
akitoa pole kwa Baba Mzazi wa Marehemu Zainab Buzohera aliyefariki
Nchini Marekani wiki iliyopita.Wakati wa Uhai wake Marehemu alikuwa Kada
mtiifu wa Chama cha Mapinduzi na alifariki siku ya Jumamosi Jan 4,
2014 katika hospitali ya Doctor's Community iliyopo Lanham, Maryland
nchini Marekani.
![](https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-frc3/1175477_647200558675352_981154957_n.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash4/t1/1477432_647198928675515_1902517514_n.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn2/1506501_647199128675495_1699424304_n.jpg)
Aliyekuwa Katibu Wa CCM DMV Lovenes
Mamuya na Wafiwa wengine wakisubiria kupokea Mwili wa Mpendwa wao
Marehemu Zainab Buzohera unatogemea Kufika hii Leo Saa Nne Usiku kwa
Muda wa hapa Tanzania
![](https://fbcdn-sphotos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/1522070_647200452008696_1043543896_n.jpg)
Naibu Katibu Mkuu Mh:Mwigulu Nchemba
akitoa Pole kwa Mama mzazi wa Marehemu Zainab Buzohera alipokwenda
kuhani Msiba Nyumbani Kwake Ukonga Banana hii Leo.
![](https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/1174576_647195568675851_462162129_n.jpg)
Mh:Mwigulu nchemba akitoa Mkono wa Pole kwa Bibi wa Marehemu Zainabu Buzohera.
![](https://fbcdn-sphotos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/71430_647200492008692_869005097_n.jpg)
Baba Mzazi wa Marehemu Zainabu Buzohera
akibadilisha mawazo na Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Mh;Mwigulu
Nchemba.Naibu katibu Mkuu alifahamiana na Marehemu Zainabu Buzohera
wakati wa ziara ya Kichama kufungua Matawi Majimbo matano Nchini
Marekani(Calfonia,Chicago,North Carolina,Mid West n,k) walishirikiana
kwa Ukaribu sana Kuimarisha chama cha Mapinduzi kwa Upande wa Diaspora.
Mungu aipumzishe Roho Ya Marehemu Mahali Pema Peponi
AMINA
Picha Zote na habari kwanza Blog
Post a Comment