Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Dk.Ali Mohamed Shein,apokea Kifimbo cha .Malkia wa Uingereza na kuwaapisha Viongozi katika Serikali ya Mapinduzi.

 


TA1A0100
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) kutoka kwa  Katibu wa Michezo wa Chama cha Watu wenye Ulemavu Zanzibar Hadaa Khatib,katika viwanja vya Ikulu Mjini  Zanzibar leo.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A0109
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitembea na kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) baada ya kukabidhiwa na Kamati ya Olimpiki Tanzania,(wa pili kulia) Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania Gulam Abdalla Rashid,na katibu wa Mbio za Kifimbo na Mjumbe wa kamati ya Oilimpiki suleiman Jabir,(kushoto)(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]


TA1A0135
Baadhi ya wanamichezo wa vikundi mbali mbali vya Michezo vya Zanzibar wakiwa katika hafla ya kukabidhi kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kutoka kamati ya Olimpiki Tanzania katika Viwanja vya Ikuli Mjini  Zanzibar leo.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A0159
Kiongozi wa Kifimbo cha Kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) Adam Best,akitoa maelezo kwa wanamichezo wa vikundi mbali mbali vya Michezo vya Zanzibar baada ya kukabidhi KIfimbo hicho kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_0006
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi. Rukia Mohamed Issa,kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top