Tarehe 20-21/11/2013 Kamati Kuu ya Chadema Iliridhia Uteuzi wa Wakurugenzi Wafuatao..
1. Mkurugenzi wa Oganaizesheni Mhe. Singo Kigaila Benson.(Mkristo + Mchaga)
2. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya ndani Mhe. John Mnyika (Mb). .(Mkristo + Mchaga)
3. Mkurugenzi wa Fedha na uwekezaji Mhe. Anthony Komu. .(Mkristo + Mchaga)
4. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashuri Mhe. John Mrema. .(Mkristo + Mchaga)
5. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Mhe. Wilfred Lwakatale.
Uteuzi huu hauonyeshi sura ya Kitaifa Wakurugenzi wote watano ni
Wakristo kanakwamba CHADEMA hakuna Waislamu wenye uwezo wa kushika
nafasi hizo.
Lakini pia hauzingatii mgawanyo wa kijamii kwa kuwa
kati ya kurugenzi hizo Tano wakurugenzi wanne kati yao wanatokea mkoa
mmoja wa kilimanjaro
Na uteuzi huu unakwenda sambamba na
kuboresha maslahi yao kwa kuongeza posho, -kutoka Tshs. 800,000/= za
awali na sasa itakuwa ni kuanzia Tshs. 1,500,000-2,500,000/= kwa
Mkurugenzi na kutoka Tshs. 6,800,000/= kwa Afisa Mwandamizi na sasa ni
Tshs.1,000,000-1,500,000/=.
Pamoja na kwamba uboreshaji uliridhiwa,
lakini katika mpango ulioridhiwa na Baraza kuu ni pamoja na kulipa Posho
kwa Makatibu wa Wilaya na Mikoa. Hawa ndio watendaji muhimu katika
Ujenzi na Uhai wa Taasisi hii lakini, hawakuangaliwa wala kuguswa badala
yake wanatakiwa kujitolea tu kwa hali na mali.
By Ally Omary Chitanda, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Lindi
Chadema Inapata RUZUKU ya Tsh Mil 280 Kila Mwezi..Pia Hupata Msaada wa
Milion 100 Kila Mwezi Kutoka kwa SABODO… Chadema Pia Inapata Milion 200
Kama MSAADA Kutoka CDU(Christian Democratic Union) ya Ujerumani Kila
Mwezi, Pia Magari yote yalioandikwa M4C ni Msaada Kutoka Ujerumani…
MASWALI…
1. Hivi ni Kweli Chadema Haina WAISLAMU Wenye Uwezo wa Kushika Nyadhifa Hizo??
2. Hivi ni Kweli Chadema Haina Watu Kutoka Kanda Nyingine Tofauti na
Kanda ya Kaskazini Wenye Uwezo wa Kushika Nyadhifa Hizo??Maana
Wakurugenzi Wanne Kati ya Watano ni WACHAGA…
3. Uzalendo Uko
Wapi??Kama Wakurugenzi na Maofisa Makao Makuu ya Chadema Wanajiongeza
MSHAHARA na POSHO Halafu Makatibu wa Mkoa,Wilaya,Kata Hadi Matawi
Wanaambiwa Waendelee KUJITOLEA Kukitumikia Chadema Bila Malipo….
4. Hivi Mashabiki wa Chadema Wamelishwa LIBWATA ya Namna Gani na Mzee Mtei Hata Washindwe Kuona UOZO Huu??
5. Hivi kwa UPUUZI Kama Huu…Nikisema Mashabiki wa Chadema ni WEHU, WENDAWAZIMU, WAMELOGWA….nitakuwa Nimekosea??
6. Hivi kwa Mapesa Yote Hayo..Kinachofanya Viongozi wa Chadema Washindwe Kujenga Hata Ofisi Moja Nchi Nzima ni Kipi??
7. Kwa Mapesa Yote Hayo..Kinachofanya Chadema Ishindwe Kuwapa Hata POSHO Makatibu wa Mikoa na Wilaya ni Kipi??
8. Hivi Nikisema MBOWE.Dr Slaa..na Mzee Edwin Mtei ni WEZI wa Pesa za Chadema nitakuwa Nawaonea??
Chadema ni Kikundi cha WEZI….Waliojipanga Kuwaibia Watanzania…Funguka Akili…Acha Kushabikia Chadema…
Karibu CCM…..
Picture Hapo Chini ni Ofisi ya Chadema Mkoa wa Mbeya..Ni Nyumba ya Mtu..ila Chadema Wanatumia Sebule ya Huyo Mzee Hapo Katikati
chanzo: Doreen Mtei - FB
Loading...
Home » Unlabelled » SIRI NZITO ZA NDANI ZA CHADEMA ZAVUJA ... SOMA MWENYEWEEE UJIONEE YANAYOENDELEA SASA CHADEMA
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA20 hours ago
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA20 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
1 comments:
asante kw ripoti. Vyama ni vingi hebu tiririka na ripoti mbovu z ccm,cuf,nccr,tlp nk. Maana naona kama watu wamekodiwa kuivuruga chadema kuweni makini inaweza kuwa ndo mnawapa njia maana hata sisi raia tunashangaa inamaana chadema ndio chama ambacho kinafanya makosa kila kukicha.kiongozi akichaguliwa usitake jua dini au kabila lake cha msingi anavigezo na anauwezo wa kukuletea maendeleo.tusiwe wapumbavu wa dini na ukabila .dondosha pia ripoti ya ccm ukianzia ya ikulu dini na ukabila tumechoka na ripoti za kila siku za chadema.
ReplyPost a Comment