WASANII WA BONGO MOVIE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
CASSIM TAALIB
MWENYEKITI WA MTANDAO WA WASANII TANZANIA
MWENYEKITI
MSAIDIZI WA BONGO MOVIE MAHSEN AWADH DR CHENI AKIWA NA WASANII WENZAKE KUSHOTO WASTARA JUMA KULIA CATHY
CHID BENZI AKIIMBA KATIKA KONGAMANO HILO
BLOGGER LEWIS MBONDE WA MTANDAO WA LEWIS MBONDE BLOG AKIWA NA BLOGGER NA ARTIST JOSEPHINE JOSEPH JOJOTHEFIGHTER BLOG
MZEE CHILO AKISISITIZA JAMBO KATIKA KONGAMANO HILO
Na Lewis Mbonde Blog
Kongamano la wasanii tanzania lafana sana wasanii wengi walijitokeza·Kongamano limefanyika leo katika hotel ya Lamada iliyopo ilala Dar es Salaam·Maadhimisho yaliyofikiwa ni ushirikiano wa pamoja katika fulsa mbalimbali·zinazojitokeza na pia kupewa nyumba zilizopo mkuranga:·
Post a Comment