Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA ZAIDI ZA JINSI RAIS DK. SHEIN ALIVYOTUNUKU VYETI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na kamati ya Nishani alipowasili katika uwanja wa Ikulu Mjini Unguja katika sherehe za kutunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wastaafu,Viongozi walioasisi,kuenzi na kudumisha Mapinduzi,pamoja na Viongozi mbali mbali wenye sifa za Kipekee na wenye Sifa Maalum,katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisimama pamoja na Viongozi,Wananchi pamoja na Wakuu wa vikosi vya Ulinzi wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika sherehe za kunuku Nishani ya Mapinduzi,katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,katika hafla kutunuku Nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi wenye sifa Maalum kwa Dk. Salim Ahmed Salim,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi Makundi na Wenye sifa Maalum kwa Bw. Col Soud Haji Khatib,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi wenye sifa Maalum kwa Bw. Baraka Shamte,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top