Viongozi
wa dini wametembelea Bomba Jipya la Gesi asilia la Mtwara- Dar es
Salaam, mtambo wa kusafisha umeme wa Mnazi Bay na maeneo mengine
mbalimbali ya uendelezaji wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi na
Mtwara.
Viongozi
hao wamefanya ziara hiyo ikiwa ni maandalizi kabla ya kufanyika
Kongamano la Viongozi wa dini linalotarajiwa kufanyika jijini Dar es
Salaam tarehe 21 na 22 mwezi Januari, 2014.
Post a Comment