Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akiteta
jambo na Mkurugezi wa Kampuni ya Weli Media nchini David Lee wa kwanza
kulia, ugeni huo ulimtembelea Mheshimiwa Waziri kuomba eneo kwa ajili ya
kufanyia Tamasha litakaloshirikisha wasanii kutoka China na
Tanzania.Katikati ni Bwana Juma Mabakila Mkurugenzi wa Kampuni ya Optima
Aviation Security Limited
Mkurugezi wa Kampuni ya Weli Media nchini David Lee wa kwanza kulia akiongea na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara ambapo ugeni huo ulimuomba Mheshimiwa Waziri eneo kwa ajili ya kufanyia Tamasha litakaloshirikisha wasanii kutoka China na Tanzania Katikati ni Bwana Juma Mabakila Mkurugenzi wa Kampuni ya Optima Aviation Security Limited (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)

Post a Comment