Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri Fenella awaongoza mamia ya Watanzania kukimbiza Kifimbo cha Malkia

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amebeba Kifimbo cha Malkia wa Uingereza mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana, kulia ni Katibu wa Kamati ya Olympic Tanzania Filbert Bayi.Picha zote na Frank Shija – Wizara ya Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini atograph katika bendera za kijana wa Uingereza anayeishi nchini ambaye jina lake alikuweza kupatikana jana Ikulu jijini Dar es Salaam katika hafla ya Kupokea Kifimbo cha Malkia. kf3
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akiongoza mamia ya watanzania kukimbiza Kifimbo cha Malkia jana jijini Dar es Salaam, Kulia ni Balozi wa Ungereza hapa nchini Dianna Patricia Melrose na wakwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga.


kf4.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza na Kaimu Mkurugenzi,Idara ya Maendeleo ya Michezo,Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Juliana Matagi Yasoda kf5
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top