JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
WITO KWA WAHESHIMIWA WABUNGE WOTE
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa
Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wafike
Jijini Dar es Salaam Jumapili tarehe 26 Januari 2014 kwa ajili ya
shughuli za Kamati za Bunge zitakazoanza tarehe 27 Januari 2014 hadi
tarehe 8 Februari 2014. Moja ya shughuli hizo ni pamoja na ukaguzi wa
miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ofisi ya Bunge,
Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na
Uhusiano wa Kimataifa
Dar es Salaam
17 Januari 2014.
Post a Comment