Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AFANDE SELE AMUUNGA MKONO RAIS OBAMA KUHUSU BANGI, ASEMA BANGI NI NZURI KULIKO POMBE

 
Afande Sele ameungana na Rais wa Marekani Barack Obama katika kuunga mkono kauli yake ya kwamba bangi ni salama kuliko pombe kwa afya ya binadamu 
 
Akiongea na kipindi cha Milazo XP kinachorushwa na TBC fm, Afande Selle, mbali na kuunga mkono pia alizungumzia umuhimu wa bangi kama zao linaloweza pia kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi kama litatumiwa kwa usahihi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top