Wasanii kutoka Tanzania, Ambwene Yessaya na Diamond Platnumz siku ya
jana walisafiri kuelekea Afrika Kusini ambako wanaungana na wasanii
wengine kutoka bara la Afrika kwa ajili ya kufanya wimbo wa pamoja ambao
unatambulika kama mradi wa “Do Agric” kwa ajili ya kuhamasisha kilimo
barani Afrika huku ikitumika kuwashtua viongozi wa Afrika juu ya
kuchangia asilimia kumi kwenye kilimo.
Loading...
Home » Unlabelled » AY, MWANA FA NA DIAMOND WAUNGANA NA WASANII ZAIDI YA 19 AFRIKA KUFANYA WIMBO MMOJA AFRIKA KUSINI
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Kwa Undani3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment