Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AY,DIAMOND WAELEKEA 'SAUZ' KUUNGANA NA WASANII WAKUBWA BARANI AFRIKA WASANII WAKUBWA WA AFRIKA KTK KAMPENI YA KUHAMASISHA KILIMO KAMA NJIA YA KUPIGANA NA UMASKINI NA NJAA


Mastaa wa Bongo Fleva,AY na Diamond wameelekea nchini South Africa kujiunga na wasanii wengine zaidi ya kumi kutoka pembe zote za Africa kwa ajili ya kusapoti na kurekodi ngoma kuhamasisha vita dhidi ya umaskini na njaa kwa kutumia kilimo.
ONE ni kampeni ambayo ilianzishwa na msanii kutoka kundi la U2 anaitwa Bono 2004 na ameshachangisha mamilion ya dola kwa ajili ya kusaidia maskini na matajiri mbalimbali huchangia project hiyo akiwemo Bilionea Bill Gates na mkewe Melinda Gates.
Mwaka jana kulikuwa na malalamiko kwanini kampeni hii haina sauti ya Waafrika kwasababu wao ndo maskini wenyewe, kiuchumi.
Ndiyo sababu mwaka huu wasanii kutoka barani Afrika wamepata nafasi ya kutoa kilio chao.
Leo AY na Diamond Platinum wameelekea nchini South Africa kubariki mradi huo.
CLOUDS MEDIA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top