Mvua
kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya milima ya Pare
Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro zimeporomosja maj na kusabisha
mafuriko katika eneo la Kijiji cha Mgagao na kuwa kero kubwa kwa
watumiaji wa barabara kuu ya Moshi - Same mkoani humo. Pichani ni moja
ya magari yakielekezwa namna ya kuvuka na vijana wakazi wa eneo la
Mgagao ambao hufanya hivyo kwa kulipwa ujira kidogo.
Mwendesha bodaboda akipita katika dmbwi hilo la maji eneo la Mgagao.
Vijana hao wakichukua ujira wao kutoka kwa dereva wagari.
Fedha
huleta ugomvi na chuki, pichani vijana hao wakitaka kugombana baada ya
kulipwa ujitra wao huo wa kuliongoza gari. Baadhi ya watu wamedai maji
hayo huzidi na kyusababisha magari kukwama eneo hilo, hivyo kuiomba
serikali kupitia Wizxara ya Ujenzi na TANROADS kuweka daraja au kalavati
kubwa eneo hilo kunusuru athari zaidi za maji hayo.CHANZO FATHER KIDEVU
Post a Comment