Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CCM YAKOMBA WASANII WA BONGO MOVIE NA BONGO FLEVA .... WAJIUNGA NA CCM, JIJINI MBEYA .... TAZAMA KUFURU WALIYOIFANYA LEO


20



WASANII MAARUFU NCHINI   JB,IRENE UWOYA,BANANA ZORO,RICHIE,MBOTO,WASTARA NA JOHARI WAJIUNGA NA CCM MDA HUU WAPEWA KADI NA RAIS KIKWETE JIJINI MBEYA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM










JB akizungumza machace kwa niaba ya wenzake mara baada ya kutamka kuwa wamejiunga na chama cha CCM.

Wasanii hao wa Filamu wakifurahia jambo jukwaani.

 13
Mwigizaji wa filamu Jacob Steven JB akizungumza kwa niaba ya wenzake kabla  ya waigizaji hao wa Bongo Movie kukabidhiwa kadi zao na Rais Jakaya Kwete kwenye uwanja wa Sokoine leo 14
Mwigizaji wa filamu Jacob Steven JB akizungumza kwa niaba ya wenzake kabla  ya waigizaji hao wa Bongo Movie kukabidhiwa kadi zao na Rais Jakaya Kwete kwenye uwanja wa Sokoine leo, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,Itikadi na Uenezi. 20
Rais Dr. Jakaya Kikwete akipiga picha ya pamoja na wasanii waigizaji wa filamu mara baada ya kuwakabidhi kadi zao kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo19
Rais Dr. Jakaya Kikwete akimkabidhi kadi ya uanachama Irene Uwoya mara baada ya kujiunga na chama hicho leo 21
Irene Uwoya mwigizaji wa filamu akiwa anazongwa na mashabiki wake kwenye uwanja wa Sokoine leo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top