Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHADEMAWADAIWA KUPELEKA VIJANA KUFANYA FUJO UCHAGUZI WA UDIWANI KATA YA TUNGI ... WAWAJERUHI WAFUASI WA CCM USIKU WA KUAMKIA LEO ... BAADHI YA VIJANA HAO WADAKWA NA KUELEZA KILA KITU LIVE




 Kada wa umoja wa Vijana mkoa wa Morogoro Daniel Richard aliyelazwa wodi namba moja katika hospitali ya mkoa wa Morogoro baada ya Chadema kuwavamia na kuanza kuwapiga wakati wakitoka katika kampeni ndogo za udiwani kata ya tungi Manispaa ya Morogoro.
 Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Lomuli akijadili jambo na viongozi wa CCM wilaya ya Morogoro mjini nje ya wodi namba moja walikokwenda kumwona kada huyo.
 Huyu ni miongoni mwa vijana 80 wanaodaiwa kuletwa manispaa ya Morogoro kwaajili ya kufanya vurugu wakati wa kampeni za uchaguzi  wa udiwani tungi, alikamatwa baaada ya kumpiga mmoja wa makada mjini hapa ambaye amelazwa Hopitali ya mkoa,
 Hii ni pikipiki aliyokmatwa nayo kijana huyo wa Chadema wakati wa vurugu hizo akiwa chini ya ulinzi wa polisi
 Hii ni pikipiki aliokamatwa nayo mfuasi huyo wa Chadema ikiwa na nambo ya chama hicho.
 Pikipiki hiyo ikiwa ndani ya gari la polisi
Wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa wa Morogoro wakimjulia hali kada
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top