Mkurugenzi
wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bi. Zulekha Khamis Omar akitoa
maelezo juu maendeleo ya Chuo katika Mahafali ya tano Chuoni hapo.
Mwenyekiti
wa Baraza la Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Khamis Mussa Omar
akieleza machache kuhusu muelekeo wa Chuo hicho na kumkaribisha Mgeni
rasmin kutunuku vyeti kwa wahitimu.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizunguza na
wahitimu mbalimbali (hawapo pichani) mara baada ya kuwatunuku vyeti na
stashahada katika Mahafali ya tano Chuoni hapo, (kulia yake) Mwenyekiti
wa Baraza la Chuo Khamis Mussa Omar na (kushoto) Kaimu Mwenyekiti Bi.
Naila Jidawi.
Baadhi
ya wahitimu wa Mapishi ya vyakula na Uokaji wakiwa wamesimama mara
baada ya kutunukiwa vyeti na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na
Michezo Saidi Ali Mbarouk katika sherehe zilizofanyika Chuoni hapo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliofika katika sherehe ya Mahafali ya tano ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi Zanzibar.
Baadhi
ya wahitimu wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na
Michezo Saidi Ali Mbarouk (hayupo pichani) ambae ni mgeni rasmin wa
Mahafali ya tano ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi Zanzibar.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akimpa zawadi
ya mlango kwa niaba ya wanafunzi wa ICT & ACCOUNT, Maalim. Hassan
Mrisho Haji katika sherehe ya Mahafali iliyofanyika Chuoni hapo.
Wapiga Picha nao wakiuza picha zao mara baada ya kumaliza kwa Mahafali chuoni hapo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Post a Comment