Makamu
mwenyekiti wa Chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) Bw. Kasmiri Nyoni
akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho
kinakaribia kuanza kujengwa Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani kitakuwa na
uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao 30,000 . kulia kwa makamu wa chuo
ni Mkuu wa chuo cha IFM Profesa Godwin Mjema na kushoto ni Mkurugenzi
mtendaji wa Kituo kinachotoa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania
Charles Senkondo.(Picha na Chris Mfinanga).
Pichani ni uongozi wa chuo cha IFM kilipotembelea eneo kitakapo jengwa chuo hicho msata wilaya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.


Post a Comment