Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DKT. BILAL AWASILI JIJINI MWANZA KUFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza,tayari kwa ufunguzi Kongamano la uwekezaji kwa Kanda ya Ziwa,linaotarajiwa kuanza Leo kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Naibu Waziri wa Madini,Mh. Charles Kitwanga.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) ambao ndio waratibu wa Kongamano hilo,Bi. Julieth Kairuki,wakati wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza j.Makamu wa Rais yupo jijini Mwanza kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji kwa Kanda ya Ziwa,linalotarajiwa kuanza leo kwenye Hoteli ya Malaika,jijini humo. 
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo (kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Kanali Mstaafu Fabian Massawe wakati walipotembelea hoteli ya Malaika kukagua maendeleo ya Maandalizi ya Kongamano hilo litakalofunguliwa na Makamu wa Rais,Dkt. Mohammed Ghalib Bilal.Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) ambao ndio waratibu wa Kongamano hilo,Bi. Julieth Kairuki 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top