Barcelona 2-3 Valencia:
VINARA
wa Ligi Kuu ya Hispania, Barcelona imeshindwa kutamba nyumbani kwake
baada ya kunyukwa mabao 3-2 na Valencia licha ya Lionel Messi kuifungia
timu yake bao kwa mkwaju wa penati.
Wenyeji walitangulia kupata bao la mapema
kupitia kwa Alex Sanchez aliyefunga dakika ya 7 kabla ya wageni
kulikomboa dakika moja kabla ya mapumziko baada ya Dani Parejo kufunga.
Kipindi cha pili kilikuwa cha mchakamchaka
zaidi kwa timu zote kutafuta mabao zaidi na walikuwa ni Valencia
walipopata bao la pili dakika ya 48 lililofungwa na Pablo Piatti, hata
hivyo penati ya Lionel Messi katika dakika ya 54.
Paco Alcacer aliifungia Valencia bao la
tatu dakika tano baada ya Messi kufunga penati hiyo na kufanya hadi
mwisho wa pambano hilo ambalo lilishuhudia Jordi Alba wa Barcelona
akitolewa nje ya uwanja baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na
kufuatiwa na nyekundu dakika ya 78.
Pamoja na kipigo hicho cha nyumbani
Barcelona bado imebaki kileleni ikiwa na pointi 54 sawa na Atletico
Madrid na kufuatiwa na Real Madrid yenye pointi 53.
Stunned: Valencia took a 2-1 lead second into the second half through their Argentine forward Pablo Piatti
It's over: Lionel Messi reacts as Barcelona's 31-game unbeaten home run in the league came to an end

Post a Comment