Taarifa
zilizopatikana hivi punde zinasema FIFA imebaliki taratibu za uhamisho
wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka SC Villa kujiunga na Yanga.
Taarifa
kutoka ndani ya shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini TFF zinasema
FIFA imemruhusu mchezaji huyo kuendelea kucheza, nakuhusu suala la deni
la Simba shirikisho hilo limesema bado linalifanyia kazi.
Post a Comment