Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Huu hapa ndio uamuzi wa Kamati kuu ya CCM dhidi ya makada wake Freddrick Sumaye,Edward Lowassa,January Makamba,William Ngeleja,Bernard Membe,Stephen Wassira Baada ya kuthibitika kuanza kampeni za kutafuta kuteuliwa kugombea urais kabla ya wakati kinyume na Kanuni za Uongozi na Maadili za CCM Toleo la Februari 2010 ibara 6 (7)(i)

 

 
Edward Lowassa

Stephen Wassira
 January Makamba
 Bernard Membe
 William Ngeleja
 Nape Moses Nnauye Katibuwa Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na waandishi wa habari leo mchana katika makao makuu ya CCM Lumumba ofisi ndogo ya chama jijini Dar es salaam kuhusu maamuzi ya vikao vya chama vilivyomalizika mjini Daodoma hivi karibuni.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top