Hapa ni
maeneo maarufu ( kama mtaa wa congo dar) sana mkoani Iringa,panajulikana
kama Miyomboni kukiwa kimya kutokana maduka yote ya bidhaa muhimu
yamefungwa na wananchi wanaendelea kupata taabu kutokana na mgomo wa
kutumia mashine za kutolea risiti za TRA.
Loading...
Post a Comment