Katibu
wa UVCCM, Kata ya Majengo, Sebastian Masonga (34) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) akiwa amelazwa katika wadi namba
nane kwenye Hospitali ya Rufaa ya Bugando baada ya kupigwa na wanaodaiwa
kuwa wafuasi wa Chadema wakati akitoka kwenye kampeni za udiwani wa
Kata ya Ubagwe wilayani Kahama. (Picha na Grace Chilongola).
Loading...
Home » Unlabelled » KATIBU WA UVCCM KATA YA MAJENGO ASHAMBULIWA KISHA KUPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA WAFUASI WA CHAMA PINZANI, ALAZWA HOSPITALI YA BUGANDO JIJINI MWANZA.
Post a Comment