Hivi
punde kumetokea tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya
kijana mmoja aliyechukua maamuzi magumu juu ya maisha yake.kijana huyo
ambaye jina na chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka sasa
aliamua kujilaza katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika mgongo wake na kumsababishia kupoteza maisha yake.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi watukio hili na hutambuzi wa ndugu wa marehemu.
Katika tukio hili mashuhuda mbalimbali walisikika wakisema "Kama kijana huyu alifikia uamuzi huu na bora angeweka kichwa ili afe na kumpunguzia maumivu kwani kuweka kwake tumbo kunamchelewesha na hata kabla ya kufa angeweza kujutia kutoka na maumivu hayo"
Post a Comment