Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Vijana, katika Ukumbi
wa Mtenda jijini Mbeya, jana jioni ikiwa ni maadalizi ya shamrashamra za
miaka 37 ya CCM zitakazofanyika Jumapili hii jijini hapa. Kushoto ni
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa UVCCM,
Sixtus Mapunda.
Vijana
akiwa wamembeba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya
kuwakuna kwa hotuba yake, alipozungumza nao katika ukumbi wa Mtenda
jijini Mbeya
Vijana hao wakimbeba pia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
Kinana akiagana na vijana hao nje ya ukumbi baada ya kuzungumza nao.
Baadhi
ya mashabiki wa timu ya Mbeya City, wakimpungia mkono Katibu Mkuu wa
CCM Abdulrahman Kinana alipopishana nao akiwa katika gari lake mjini
Mbeya jana jioni.







Post a Comment