
Kwa kitendo cha jana
kilichotokea cha fan page ya ka facebook ya Kala Jeremiah kumponda na
Diamond na kumsifia Ally kiba na mwisho wa siku kuhusisha maswala ya
mikopo. . Leo kupitia akaunti yake ya instagram kalla afunguka meni na kusema haya
Nanukuu alichokisema Kalaa Jeremiah "dUNIA
HAINA USAWA. KUNA WATU WALIIBA PAGE YANGU YA FACEBOOK INAYOTUMIA JINA
LA KALA JEREMIAH NA INA PICHA HII. MATAPELI HAO WAMEKUWA WAKIITUMIA
PICHA HII KWA LENGO LA KUNICHAFULIA JINA.WAMEKUWA WAKIWEKA MATANGAZO YA
MIKOPO NA SASA WAMEAMUA KUWEKA TANGAZO LAO LA MIKOPO KWA KUTAJA BAADHI
YA MAJINA YA WASANII WAKUBWA.poleni sana wana mlioguswa na sakata hilo
NILISHATANGAZA KARIBU KILA REDIO YA TANZANIA KUHUSU KUIBIWA KWA PAGE HII
NA KUWA INATUMIWA NA MATAPELI.LAKINI KUNA BAADHI YA MASHABIKI WANAHISI
BADO NAITUMIA MIMI MWENYEWE. NAOMBA UNISAIDIE KUSAMBAZA UJUMBE HUU.NA
KAMA MTU ANATAKA KUNIPATA FB NILIFUNGUA PAGE MPYA YA FB INAYOITWA
KALA0444 AU UNAWEZA UKA CLICK KWENYE LINK HAPO KWENYE BIO YANGU.WATU
WALIOIBA PAGE YANGU HAWANA LENGO LINGINE ZAIDI YA KUNICHAFUA NA
KUNIHARIBIA LAKINI MUNGU WANGU HALALI WALA HANA LIKIZO NINACHOWAAMBIA
WATU HAO NI...........nilipoanza muziki mama alisema nijilinde kwa
kusali, akanipa maji ya baraka biblia na rozali, muziki wangu
haukujengwa kwa tofali, unayewaza kuubomoa nakuchinja kwa mistari. #WALEWALE"



Post a Comment