Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAJADILIANO YA AFYA YA MAMA NA MTOTO YAFANYIKA JIJI DAR ES SALAAM

 



001
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid akisoma hotuba yake jijini Dar es Salaam wakati majadiliano kuhusu  afya ya mama na mtoto, lengo la majadiliano hayo ni kupunguza vifo kwa wakinamama wajawazito na watoto chini ya miaka 5, iliwakutanisha wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada, Christian Paradis, Alexandre Leveque, Mwakilishi kutoka Agha Khani, Amir Kurji.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
 002
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada, Christian Paradis akisitiza jambo wakati wa majadiliano majadiliano kuhusu  afya ya mama na motto.

003Mwakilishi kutoka Agha Khani, Amir Kurji.akisoma hotuba yake. 004
Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi wakisi wakifuatilia kwa umakini majadiliano hao 005
Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi wakisi wakifuatilia kwa umakini majadiliano hao 006
Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi wakisi wakifuatilia kwa umakini majadiliano hao
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top