Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA CHINA (CAAC) WASAINI MKTABA WA USHIRIKIANO

 



 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na   Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC) Li Jian  wapili (kulia) wakisaini mkataba wa  ushirikiano wa masuala ya Usafiri wa Anga, ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. 

Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, leo utaiwezesha  Mamlaka hiyo hapa nchini  kuweza  kujenga  wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kushoto ni Mwanashereia wa TCAA  Vallery Chamulungu na  Kulia ni  Executive Vice President of  Aviation Industry Corporation of China (AVIC)   Mr. Geng Runguang.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na   Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian   (kulia)  wakikabidhiana hati  za mkataba wa  ushirikiano wa masuala ya Usafiri wa Anga, baada ya kusainishana mkataba huo leo mchana jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wajumbe Kutoka nchini China waliohudhuria  hafla hiyo.
Viongozi wakuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  China (CAAC) wakiwa katika Picha ya Pomoja baada ya kusaini mkataba huo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top