CCM mmeshindwa kushughulikia 'mawaziri mizigo' badala yake mnapambana
na FRIENDS OF LOWASA. Hata kama anasaidia jamii ili achaguliwe kuwa
Rais kuna kosa gani? kwani uwezo wa mtu unapimwa kwa futi kamba? uwezo
si unapimwa na "nini ulichoifanyia jamii?" Jifanyieni tathmini CCM. Tena
huyu Mangula ndo kabisa wala sioni maadili yake mtu aliyeng'ang'ania
madaraka hadi akapigwa chini uchaguzi wa mwaka 2010. Eti ndio
anakabidhiwa jukumu la kumshughulikia Lowasa! Nonsese.
Aliyoyasema mwenyekiti wa mkoa wa Arusha ni kweli. Lowasa ni raia wa
Tanzania na ana haki ya kuchagua au kuchaguliwa kuwa kiongozi kulingana
na katiba ya Tanzania. Hivyo CCM acheni majungu tafuteni suluhisho la
matatizo yanayowakabili wananchi ambao watoto wao wanasoma shule ambazo
hazina madawati ilihali watoto wenu wanasoma English medium, suluhisho
la matatizo ya afya ambapo hospitali zao hazina madaktari, wauguzi,wala
dawa ilihali ninyi mnatibiwa India. Tafuteni suluhisho kwa waalimu ambao
waliomba nyongeza ya mishahara mkawakatalia na kuendelea kuwalipa sh
laki moja na themanini (180,000) kwa mwezi mkijitetea kuwa serikali
haina uwezo ilihali mpo kwenye mchakato wa kuongeza viinua mgongo vyenu
(wabunge) kutoka Sh43
milioni hadi Sh160 milioni baada ya kumaliza kipindi cha miaka mitano.

Tunataka suluhisho za matatizo haya sio suluhisho la FRIENDS OF LOWASA!
********
Moto wa "Lowassa na Friends of Lowassa" hakuna wa kuuzima labda upunguzwe makali na Mhs Lowassa mwenyewe lakini ndoto za safari ndefu za kuliendeleza Taifa kutoka hapa tulipofikia kunahitaji uongozi wa kuthubutu maamuzi magumu na mazito katika wakati wake yanapohitajika kufanyika kitaifa na kimataifa..
Mhs Lowassa na "vission" ya kizazi kinachokuja kunahitajika mifumo mipya ya swala zima la vijana,elimu ya msingi bila malipo,huduma za chakula kwa wanafunzi wa shule za msingi "daily meals vouchers while attending classes" pia wazee wakongwe wasio na uwezo mkubwa kusaidiwa na matawi ya UVCCM wilayani na mikoani kwa ushirikiano mkubwa wa serikali za mitaa kuhakikisha hakuna mzee mkongwe amesahaurika vijijini bila ya huduma za msingi uzeeni. Mhs. Lowassa na "vission" ya mfumo mpya wa elimu ya msingi na kuwapanga upya vijana utakuwa mwanzo mpya wa kulinda mengi mazuri ya serikali zote zilizopita hadi kufikia malengo ya maisha ya kawaida kwa watanzania.
MIKIDADI-DENMAR K

**********
lakini mimi nashangaa sana mbona Lowasa anawapa watu taharuki!!!!! unajua kama CCM inamsingi imara wa ungozi itulie kwa nini inahaha hivyo mtu mmoja anawatoa jasho watu millioni karibu 49!!!! kwa maana hiyo ni ukweli usopingika anafaa kuwa kiongozi kwanini watu waanze kushambulia kwani kauli ile inatafsiliwa ki chama chama tu kwani isiwe vinginevyo? hebu tukae chini wantanzania tuangalie ni nani na kwa umakini kuchagua raisi ajae tukijawa na jaziba tutajutia maamuzi yetu.

Imechotwa: Mwananchi.com na Mjengwa blog
on Thursday, February 6, 2014

Post a Comment