Rais
mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana an waziri mkuu
mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa
zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini dar es salaam
jana.
...akisalimiana na Profesa wa Chuo Kikuu DSM, Issa Shivji
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akimsikiliza mwenyekiti wa taasisi ya mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii. Picha: Na Mpiga Picha wetu
Post a Comment