Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mtoto huyu wa Bilionea Huko Afrika Kusini Ameamua Kufunga Ndoa Nchini Tanzania

 

Avril Kufunda ndoa sehemu hii ya Tanzania

Msanii wa kike kutoka nchini kenya , Avril anategemea kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu. Avril ataolewa na mchumba wake mtoto wa tajiri  kutoka South Africa ambaye familia yao inamiliki machimbo ya madini nchi za South Africa na Zimbambe.
Avril_fiance
Harusi hiyo inategemea kufugwa hapahapa Tanzania katika kisiwa cha zanzibar . Wameamua kuchagua Tanzania ili kubalance pande mbili na mwezi wa 4 sababu ndio mwezi aliozaliwa avril.
Avril Vodacom
Avril alishawahi post katika mitandao ya
kijamii mwishoni mwa mwaka jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
avril pete

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top