Wafanyabiashara
jijini Mwanza na mkoani Morogoro nao wamefunga maduka leo ikiwa ni
muendelezo wa kupinga matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea
Risiti (EFD). Tayari, wafanyabiashara miji ya Iringa, Songea na Mara
wametoa msimamo wa kugomea matumizi ya mashine hizo na kuazimia kufunga
biashara zao kama njia ya kupinga matumizi yake. Jijini Dar
wafanyabiashara wa maduka ya Kariakoo bado wameendelea na mgomo huo
ulioanza jana.Chanzo GPL
Loading...
Post a Comment