Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Iringa
Frenck Leonard akiongea na waandishi baada ya kuachiwa na Polisi
alipo kamatwa ndani ya mahakama wakimtuhumu kuvunjasheria wakati
akisikiliza kesi ya Mshitakiwa wa mauaji ya Daud Mwangosi aliekuwa
mwandishi wa Chanel ten na Mwenyekiti wa (IPC).
Waandishi
wa habari Wakiwa viwanja vya mahakama ya wilaya iringa wakisubili
kupata maelezo kwa msajili wa mahakama juu ya kitendo cha Polisi
kumkamata Mwennyekiti wa IPC wakimshuku kuvunja sheria ndani ya mahakama
kosa ambalo halikujulikana nakupeleke kumuachia huru.
Askari
kanzu wakimpa ulinzi mtakatifu mshitakiwa wa kosa la mauaji ya aliekuwa
muandishi wa chanel ten Daudi Mwangosi wakati ana toka mahakamani leo
kwa kumpandisha katika gari maalumu ili asipigwe picha na waandishi
baada ya kesi yake kuandikishwa rasimi katika mahakama kuu na
itajadililiwa katika kikao kitakacho pangwa tayali kwa kusikilizwa.
Chanzo, Mnyalublogspot.com
Post a Comment