kiganja cha mwizi kilichokatwa na kisha mwizi kuachiwa aende zake |
Kijana
mmoja ambae hakujuilkana jina lake mpaka anaondoka maeneo ya Buzuruga
mjini mwanza aliambulia kukatwa mkono wake baada ya kukamatwa akiwa
ameiba simu ya mama mmoja aliekuwa amepanda nae daladala.
katika
hali ya kustaajabisha mwizi huyo baada ya kukamatwa watu walisema
inabidi apewe adhabu itayomfanya asirudie tena kuiba, ndipo walipoamua
kumkwata mkono na kumuacha aende zake...Na Mitandao
Post a Comment