Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Philemon Ndesamburo (kulia) na Halima Mdee
wakielekea katika ukumbi wa mkutano jana mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge la Katiba Hamad Rashid Mohamed(kushoto) akisalimiana na Spika
wa Bunge la Tanzania na mjumbe wa bunge la Katiba Anne Makinda
(kulia)jana mjini Dodoma wakati wa mkutano wa bunge hilo.
Mjumbe
wa Bunge la Katiba John Chipaka (kushoto) akisalimiana na Spika wa
Bunge la Tanzania na mjumbe wa bunge la Katiba Anne Makinda (kulia)jana
mjini Dodoma wakati wa mkutano wa bunge hilo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia) akibadilishana mawazo na
Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema jana kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Hamis Damumbaya(katikati), Catherine
Sibuti(kulia) na Veronica Sophu ambao ni wawakilishi wa wakulima
wakibadilishana mawazo jana mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo wakati
wakielekea katika mkutano jana mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Naibu
Waziri wa Habari, vijana , Utamaduni na Michezo Juma Mkamia , Vincent
Nyerere(katikati) na Profesa Kapuya.
Mjumbe
wa mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Esther Bulaya(kushoto)
akibadilishana mawazo na waandishi wa habari jana mjini Dododma kabla ya
kikao cha Bunge kuanza.
Wajumbe
wa Bunge la Katiba Mary Mpangala(kushoto), Salim Ally (wa pili
kushoto) , John Chipaka (wa pili kulia) na Doinick
Lyamchay(kulia)wakibadlishana mawazo jana mjini Dodoma.Picha zote -MAELEZO-dodoma
Post a Comment