Shafii 1
Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha  tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shafii Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari ambaye ndiye  mtoaji  fomu Bw.Hussein Makame.

Shafii 2
Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akipokea fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shafii Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari ambaye ndiye   mtoaji fomu Bw.Hussein Makame.(Picha na Eliphace Marwa, Maelezo).