Hivi ndivyo alivyopost kwenye page yake jioni ya leo, "kiukweli,
nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha
kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine
wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media,Mara
sjui Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu....kwanini Wanamuziki wa
Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu
kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui
"sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina
tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu...
Nafkiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na
kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu
wanataka kazi"
Loading...
Home » Unlabelled » SOMA UONE NAMNA AMBAVYO DIAMOND, ALIKIBA NA KALA JEREMIAH WANAVYORARUANA MITANDAONI
Post a Comment