Mwenyekiti wa kamati ya pamoja ya mashirikiano kati ya Shirika la
Viwango Tanzania (TBS) na la Zanzibar (ZBS) Bwa. Suleiman Masoud Makame
akiitambulisha kamati ya watalamu yenye wajumbe nane wanne kutoka Bara
na wane Zanzibar kwa Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe.
Thuwaiba Edington Kisasi katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali
Salum akimkabidhi ripoti ya Kamati ya pamoja ya mashirikiano Mhe. Naibu
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi
katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi
(alie simama) akizungumza katika Mkutano wa uzinduzi wa kamati ya
mashirikiano ya (TBS) na (ZBS) kulia ni Mkurugenzi Mkuu ZBS Bwa. Khatib
Mwalim na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Viwango TBS Bwa. Leandr Kinabo.
Baadhi
ya watendaji wakuu wa tasisi mbili wakiskiliza nasaha za Mhe. Thuwaiba
Edington Kisasi (hayupo pichani) mara baada ya kuizindua Kamati
yawatalamu katika Mkutano uliofanyika ofisi ya Viwango Amani Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi
katika picha ya pamoja na watenandaji wa Tasisi mbili zinazoshuhulikia
ubora wa viwango Tanzania.
(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo-Zanzibar).
Post a Comment