Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA ZA VURUGU KATI YA POLISI NA VIJANA WALIOKUTWA MSIKITI WA MUSA , MOMBASA


Baadhi ya vijana waliokamatwa katika vurugu hizo wakiwa chini ya ulinzi.



Baadhi ya majeruhi katika waliojeruhiwa kwenye vurugu hizo.



Polisi wakipambana na vijana waliokutwa eneo la msikiti wa Musa.

Vijana wakiwa tayari kupambana na polisi.


Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo la msikiti wa Musa mtaa wa Majengo, Mombasa.
Mojawapo ya gari likiteketea kwa moto wakati wa vurugu hizo.
VURUGU wakati wa msako wa polisi katika msikiti wa Musa mtaa wa Majengo, Mombasa nchini Kenya umesababisha vifo vya watu watatu akiwepo polisi wakati wengine wengi wakijeruhiwa. Vurugu hizo zilitokea kuanzia juzi Jumapili baada ya polisi kuvamia msikiti huo uliodaiwa kuhubiri itikadi kali za kiislamu. Katika msako huo vijana zaidi ya 100 wamekamatwa na jana walifikishwa mahakamani kujibu makosa ya kujihusisha na vitendo cha kigaidi.
(PICHA NA MDAU WA GPL, MOMBASA)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top