Jaji Mkuu Othumani Chande akikagua gwaride la FFU.
Viongozi wa Dini.
Jaji
Mkuu wa Tanzania Othumani Chande (kulia) akiongozana na Jaji Fakhii
Jundu(wa pili kushoto) Spika wa Bunge Anne Makinda (wa pili kulia) na
Mkuu wa Wilaya Ilala Raymond Mushi(kushoto).
Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande.pamoja na Spika wa Bunge Anne Makinda (kulia).
Rais Jakaya Kikwete,akipokewa na Jaji Mkuu Othumani Chande wakiteta.
Rais Jakaya Kikwete,akizungumza na Jaji Mkuu Othumani Chande pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Dk,Asha Roze Migiro.
Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wakifuatilia jambo wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini.


Post a Comment