Katika
siku za hivi karibuni kumekuwepo na tetesi kwamba mshambuliaji wa
kimataifa wa Mexico anayekipiga Manchester United Javier Hernandez yupo
mbioni kujiunga na kundi la wachezaji watakaondoka Old Trafford mwishoni
mwa msimu huu.Hernandez amekuwa akikosa nafasi ya kucheza mara nyingi
katika kikosi cha David Moyes jambo lilalotajwa kumfanya akose raha
ndani ya club.
Mmexico
huyo mapema jana ali-retweet tweet ya Sky Sports iliyokuwa ikihusu yeye
kujiunga na Tottenham msimu ujao ambapo baadae baada ya mchezo wa sare
ya 2-2 vs Fulham ambao aliingia kipindi cha pili, Hernandez aliandika
kwenye akaunti yake ya Instagram kwamba: “Muda wa kuongea vitu vingi
utakuja..
na milladayo
Post a Comment