Steve Nyerere Amesema Inamuwia vingumu
kufanya kazi kutoka na kukosa ushirikiana kutoka kwa wana bongo Movies
wenzake ..Amehabarisha kuwa kuna baadhi walio mchagua kuwa mwenye kiti
wao ili wamzalilishe na kuona kama ataweza , na hilo analiona sasa kwani
kuna baadhi waliomchagua wananyima ushirikiano....
Loading...
Post a Comment