Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
akihutubia wadau wa mchezo wa Chess alipokuwa mgeni rasmi katka chakula
cha usiku kilichoandaliwa maususi kwa ajili ya kuzindua mpango wa
kufundisho mchezo huo mashuleni. Hafla hiyo imefanyika jana katika
Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Bingwa wa
zamani wa Duni wa mchezo huo GM. Garry Kasparov, Mwenyekiti wa Chama cha
Chess Tanzania Geofrey Mwanyika (Mwenye tai). 
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (kulia)
akicheza Chess na aliyekuwa bingwa wa Dunia wa mchezo huo GM. Garry
Kasparov (kushoto) jana jijini Dar es Salaam kuashiria kuzinduliwa rasmi
kwa mpango wa kufundisha mchezo huo mashuleni, kulia kwa Waziri ni
Mwenyekiti wa Mfuko wa Chess Tanzania Vinay Choudary
Picha zote na Frank Shija – Wizara ya Habari


Post a Comment