Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia
waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba
katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es Salaam.
Rais
mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana an waziri mkuu
mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa
zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini dar es salaam leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu
Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba
wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni
Waziri Mkuu Msataafu na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya
na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa wakiondoka
eneo la msiba.
Post a Comment