Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BALLOTELI AKERWA KUFANANISHWA NA WAHALIFU

 


Mario BalotelliKuanzishwa kwa juhudi mpya za utafutaji wa ndege katika Bahari ya Hindi huenda kukatoa sura mpya ya matumaini hasa kutokana na ripoti kuwa huenda ndege hiyo ilibadilisha mwelekeo wa safari.
Napoli. Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Italia Mario Balloteli ameelezea kukerwa na kitendo cha Afisa Mkuu wa Mamlaka za usafiri wa Anga ya Malaysia Azharuddin Abdul Rahman kumfananisha na abiria wawili wanaodaiwa kutumia hati bandia za kusafiria kwenye ndege iliyopotea ya Malaysia.
Hivi karibuni wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na watu wanaodaiwa kutumia hati bandia kwenye ndege iliyopotea, Rahman alisema kuwa watu hao walikuwa wamefanana kwa sura na mchezaji huyo wa AC Milan.
Ofisa huyo alifafanua kuwa “abiria waliotumia hati bandia za kusafiria na kisha kuingia kwenye ndege hiyo aina ya MH370 ya Shirika la Ndege Malaysia wanafanana na Balotelli.”
Balotteli anadaiwa kusema ni jambo la kuudhi kuona Bw Rahma akimfananisha na wahalifu licha ya kutokuwa na abiria mweusi katika ndege hiyo.
Balloteli ambaye ni mmoja ya wachezaji wanaotajwa kuwa na vituko zaidi uwanjani amemtaka ofisa huyo kuomba radhi haraka iwezekanavyo.
Msako wa ndege sasa wahamia Bahari ya Hindi
Kusoma zaidi  bofya hapa chini
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top