Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BASI LA SAIBABA LAPATA AJALI MBAYA LIKITOKA SONGEA KUELEKEA DAR ES SALAAM ... LAACHA NJIA NA KUINGIA MAPORINI




Picha zikionesha basi la kampuni ya Saibaba Express linalofanya safari zake kati ya dar - Songea likiwa limeacha barabara na kuparamia mti uliopo pembeni mwa barabara eneo la Kidegebasi iRINGA, barabara ya Iringa Mbeya
Haikufahamika maramoja chanzo cha ajali hiyo, na kama kuna majeruhi ama la, lakini mwandishi wetu ameshuhudia polisi pamoja na abiria wakiwa eneo la tukio kuona namna ya kufanya
Basi hilo lilikuwa likitoka Songea kuelekea dar es Salaam, na imetokea majira ya saa nne asubuhi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top